Membe asisitiza bado yumo kwenye kinyang′anyiro cha urais | Media Center | DW | 20.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Membe asisitiza bado yumo kwenye kinyang'anyiro cha urais

Baada ya kimya cha muda mrefu, kilichopelekea baadhi kudhani kuwa amejitoa kwenye mbio za kuwania urais, mgombea wa chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, ameibuka na kusema bado yumo kwenye mbio hizo na kwamba ataonyesha maajabu ya dakika za lala salaama. Sudi Mnette anazungumza kinagaubaga na Membe kuhusu mwelekeo wa kampeni zake.

Sikiliza sauti 09:46