Membe achukua fomu za kuwania urais Tanzania | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 17.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Membe achukua fomu za kuwania urais Tanzania

Aliyekuwa waziri wa mambo ya kigeni nchini Tanzania Bernard Membe amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwania kiti cha urais wa Tanzania kupitia chama cha upinzani ACT-Wazalendo wakati wa uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2020.

Tazama vidio 01:08