1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Melania Trump

Melania Trump ni mke wa rais wa Marekani Donald Trump. Alizaliwa Novo, Mesto na alikulia Sevnica, katika bonde la chini la Sava nchini Slovenia.

Melani Trump alizaliwa kama Melania Knavs, Aprili 26, 1970 na alifanya kazi kama mwanamitindo wa mavazi katika miji ya Milan na Paris, kabla ya kuhamia New York mwaka 1996. Kazi zake za uanamitindo zilikuwa zinahusika na kampuni ya mitindo ya Irene Marie Models pamoja na Trump Model Management. Mwaka 2001 alipewa ukaazi wa kudumu wa Marekani. Alioelewa na Trump mwaka 2005 na akapata uraia wa Marekani mwaka 2006. Ndiye raia wa kwanza wa kuandikishwa nchini Marekani kuwa mke wa rais.

Onesha makala zaidi