Mugisha Muntu: Siwezi kushiriki serikali na Museveni
13.01.2021
| 09:53 dakika.
Wakati Unganda inaelekea kufanya uchaguzi wake mkuu, mkuu wa zamani wa majeshi ya nchi hiyo Jenerali Mugisha Muntu, ambaye anaegombea kwa tiketi ya chama cha upinzani cha ANT amezungumza na mwandishi wa DW mjini Kampala Lubega Emmanuel kuhusu kampeni za uchaguzi na iwapo anaweza kushiriki katika serikali ya umoja wa kitaifa. "Ndiyo, lakini siyo inayoongozwa na Museveni", anasema.