Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Sudan imekuwa inalaumiwa na kukoselewa juu ya kukiuka haki za binadamu. Lawama, madai na shutuma zimekuwa zinatolewa na mashirika kadhaa ya kutetea haki za binadamu ya ndani na nje ya Afrika. Zainab Aziz anaangazia yote haya katika Mbiu ya Mnyonge.