1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mecklenburg Vorpommen

Mecklenburg Vorpommen ambayo pia hujulikana kwa Kiingereza kama Mecklenburg - Western Pomerania ni jimbo lililoko Kaskazini -Mashariki mwa Ujerumani. Mji wake mkuu ni Schwerin.

Jimbo hilo katika eneo la iliokuwa Ujermani Mashariki, na ndiyo jimbo lenye wakaazi wachache zaidi nchini Ujerumani. Ni jimbo maarufu kwa utalii. Ukurasa huu unakusanya maudhui za DW kuhusu jimbo hilo.