1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchezo wa Capoeira dhidi ya machafuko

13 Novemba 2018

Vijana wawili Afrika ya kati waliamua kuanzisha mchezo wa Capoira unaojumuisha densi na kupiga mayoga ili kupunguza taharuki zinazotokana na tofauti za kidini katika eneo hilo. Ni mchezo unaoanza kupata umaarufu kwa kuwa kiasi kikubwa cha vijana kinaanza kujiunga na kikundi chao kinachotoa mafunzo ya mchezo huo.

https://p.dw.com/p/38A4N