Mchezo mwishon mwa wiki | Michezo | DW | 21.08.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Michezo

Mchezo mwishon mwa wiki

Marathon :nani mshindii leo ?

default

Shabki wa Wolfsburg uwanjani

Mashindano ya 12 ya riadha ulimwenguni-World Athletics championsshiips yanamalizika rasmii kesho (jumapil) katika uwanja wa olimpik wa Berlin-pale pale yalipoanza August,15.Na kama yalivyoanza kwa kishindo kwa rekodi ya dunia ya Usain Bolt wa Jamaica katika mita 100 wanaume ya sek.9.58, Bolt anatazamiwa kesho kuzusha maajabu mengine katika finali ya mbio za mita 100X4 wanaume kwa timu ya Jamaica.Kwa wasichana wa Afrika Mashariki-Kenya na Ethiopia, watapeana tena changamoto katika finali ya jioni ya leo (jumamosii) ya mta 5000 .Wakenya waliwapiku Waethiopia katika finali ya mita 10.000 na akina Meseret Defar, wapanga leo kulipiza kisasi. Kenya itainga uwanjani na mtego gani? Mpambano mwengine kati ya Kenya na Ethopia, utakua katika mbio za marathon zinazoanza asubuhi ya leo:

Msimu mpya wa lgii ya Tanzania ukianza nao mwshoni mwa wiki hii na Simba na younga ziikwa zimejwinda kumuonesha mwenzwe, Bundesliga-Ligi ya Ujerumani inarudi uwanjanii jioni hii kwa duru ya tatu ya msimu mpya :

Mabingwa wolfsburg kesho hawana mteremko-kwanii mahasimu wao ni jirani zao Hamburg.Wenzao kilelen Schalke watatolewa jasho na chipukizi Hoffenheim.

hizo ni changamoto 2 za kusisimua kabisa jionii hii.Wolfsburg, kwakwelii walianza msimu pale walpoacha msimu uliopta-kleleni.Waliwazima FC Cologne nyumbanii mwao kwa mabao 3-1 na halafu wakaipiga kumbo Stuttgart na kuparamia kileleni mwa Ligi pointii sawa na Schalke .Lakin hata Hamburg imeanza kwa kiishindo chini ya kocha wao mpya Bruno Labbadia.Endapo kesho Hamburg ikwalaza mabingwa Wolfsburg,watakuwa wamelpiza ksas kwa mapigo 2 waliowapa msimu uliopita.

Mabingwa mara kadhaa Bayern munich ,watarajia leo ushindii wao wa kwanza tangu kuanza msimu na chini ya kocha wao mdachi Louis van Gaal wakifunga safari hadi Mainz. pigo jengine kwa munich,ltatikisa kt cha kocha van gaal.

Mkiiani FC Cologne, inadai lazima ijikomboe leo inapocheza nyumbanii na Frankfurt.Ikcheza tena leo na jogoo wao Lukas Podolski,Cologne, haimumudu tena kupoteza pointi 3. hannover iina miadi na Nuremberg wakati kesho Bremen liimarishwa kwa kurudi kwa stadi wao wa zamanii mperu Clkaudo Pizzarro kama Cologne, nahiitaj ushindi wake wa kwanza kesho.

Katika mashindano ya radha ya dunia mjni Berlin, mbio za marathon zitakuwa uwanjan hv asubuhi.Madum,e wa Kenya na waethiopia watapambana na wale wa mataiifa mengine kuania medalii ya dhahabu.Bingwa wa Kenya wa olmpik Sammy wanjiru kama biingwa wa rekodi ya dunia mzee Gebrselassie wa Ethiopa, wamezikwepa mbio hizi za Berlin. Wanjru anataka

Mwandishi:Ramadhan Ali /dpa/afp

Mhariri:M.Abdul-Rah

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com