1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbunifu wa mitindo anayetumia takataka

Yusra Buwayhid
24 Januari 2018

Ngwane Liz anapenda nguo za mitindo – lakini mwanamazingira huyo kutoka Cameroon anachukia namna sekta ya nguo inavyoharibu mazingira. Amua kuja na wazo la kubuni mitindo anayoishona kwa kutumia takataka.

https://p.dw.com/p/2rQwp