Mbiu ya Mnyonge: Ukatili wa waasi wa LRA huko Uganda | Media Center | DW | 16.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mbiu ya Mnyonge: Ukatili wa waasi wa LRA huko Uganda

Katika makala yetu ya mbiu ya mnyonge tunangazia makovu na moyoni na ya kimwili ambayo jamii za Acholi, Langi, Teso, Madi na zinginezo zinaendelea kudhihirisha katika eneo ambalo ilifika wakati wakajihisi si sehemu ya taifa la Uganda.Kesi dhidi ya aliyekuwa kamanda wa waasi wa LRA Dominic Ongwen imeibua tena kumbukumbu za madhila.

Sikiliza sauti 09:45