1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbiu ya Mnyonge: Ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu

Khelef Mohammed
23 Machi 2023

Makala ya Mbiu ya Mnyonge inatafuta majibu juu ya sababu za kuongezeka kwa visa vya chuki dhidi ya Uislamu na waislamu kwenye Mataifa ya Magharibi pamoja na mbinu zinazoweza kutumika kupunguza hali hiyo. Mtayarishaji ni Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/4P8GB