Mbinu ya kutokomeza uharamia yatafutwa | Masuala ya Jamii | DW | 12.07.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mbinu ya kutokomeza uharamia yatafutwa

Washiriki kutoka mataifa 68 wanakutana Kenya kujadili mikakati ya kupambana na uharamia katika Pembe ya Afrika. Wataalamu wanasema mashambulizi ya maharamia katika eneo hilo bado ni tishio kubwa.

Sikiliza sauti 02:38
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Reuben Kyama kutoka Nairobi

              

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com