Mazungumzo kati ya Waasi wa M23 na Serikali ya DRC | Matukio ya Afrika | DW | 24.01.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Mazungumzo kati ya Waasi wa M23 na Serikali ya DRC

Nchini Uganda bado mazungumzo yanaendelea kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Waasi wa M23.

Kiongozi wa waasi wa M23 Jean-Marie Runiga

Kiongozi wa waasi wa M23 Jean-Marie Runiga

Wakati mazungumzo baina ya wajumbe wa waasi wa M23 na wale wa serikali ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo ingawa taratibu mjini Kampala Uganda, duru zinasema kuwa kumetokea mpasuko katika kundi hilo baada ya wengine kutaka kurudi nyumbani na kutoendelea na mazungumzo. John Kanyunyu ana ripoti kamili kutoka Kampala Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada