1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maxence Melo akalia kiti moto cha kinagaubaga

Amina Mjahid
23 Julai 2019

Maxence Melo muasisi mwenza na mkurugenzi mtendaji wa mtandao wa kijamii wa Jamii Forums nchiniTanzania. Bwana Melo ni miongoni mwa washindi wanne wa tuzo ya kamati ya kuwalinda waandishi habari CPJ mwaka 2019. Sikiliza mahojiano yake na Josephat Charo akizungumzia mengi miongoni mwayo tuzo hiyo ya CPJ

https://p.dw.com/p/3McRd