Mavazi ya urembo kutokana na takataka | Media Center | DW | 21.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mavazi ya urembo kutokana na takataka

Je umewahi kufikiri kuwa baadhi ya takataka za nyumbani zinaweza kugeuzwa kutengeneza nguo za kuvaa katika tamasha za urembo? Ikiwa hukujua basi kutana na mwanamitindo kutoka Cameroon Ngwane Liz ambaye anatengeneza mavazi ya urembo kutumia takataka mbalimbali. Mradi ambao umefaulu nchini mwake.

Tazama vidio 01:30