Matumizi holela ya vidonge vya kuzuia mimba | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 20.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Matumizi holela ya vidonge vya kuzuia mimba

Uzazi wa mpango ni maamuzi ya hiari ya mtu au na mpenzi wake kuhusu wakati gani waanze kuzaa, watoto wangapi wanataka, wapishane kwa umri gani na lini waache kuzaa. Masuala ya uzazi na malezi kwa wanawake ni jambo lililo wazi kabisa. Katika makala hii ya Afya Yako Saumu Njama anaangazia matumizi ya dawa ya kuzuia mimba kwa kiingereza Morning After Pill.

Sikiliza sauti 09:50