1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matokeo ya TWAWEZA yakosolewa

Mohammed Khelef24 Septemba 2015

Shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzania, TWAWEZA, limeshachapisha matokeo ya utafiti yanayompa nafasi ya juu mgombea urais wa CCM, John Magufuli, dhidi ya Edward Lowassa wa UKAWA. Lakini ni kwa kiasi gani matokeo hayo yanaakisi uhalisia hivi sasa ambapo kampeni za uchaguzi zimepamba moto? Mohammed Khelef amezungumza na mwandishi wa habari muelekezi wa ripoti za uchaguzi, Attilio Tagalile.

https://p.dw.com/p/1GcTu