1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matatizo ya kiafya kwa wanaopenda kukaa muda mrefu maliwatoni ni yapi?

18 Mei 2020

Kuna baadhi ya watu ambao hupenda kuketi maliwatoni kwa muda mrefu! Labda kwa kujua au kwa kutojua! Lakini je wanajua kuwa kuna hatari za kiafya wanapofanya hivyo? Je wewe ni mmoja wa watu kama hao? Tazama ushauri wa kiafya kutoka kwa daktari Sadiki Sizya.

https://p.dw.com/p/3cmpH