1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili 22.02.2020

SK2 / S02S22 Februari 2020

Maambukizi ya virusi vya corona vyasambaa zaidi Korea Kusini na kwengineko ulimwenguni. Iran imeanza kuhesabu kura kufuatia uchaguzi wa Ijumaa. Na, Serikali ya umoja wa kitaifa Sudan Kusini yatarajiwa kuundwa Jumamosi.

https://p.dw.com/p/3YBdY