1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)

3 Novemba 2018

Maandamano nchini Pakistan hatimaye yafikia mwisho baada ya serikali kutangaza makubaliano na Waislamu wenye msimamo mkali//Korea Kaskazini yatishia kurejelea mpango wake wa nyuklia iwapo vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi yake havitaondolewa//Wakristo wa Koptik wajiandaa kuwazika waumini wao waliouwawa kwa kupigwa risasi na wanamgambo wa Kiislamu nchini Misri

https://p.dw.com/p/37bgV