Matangazo ya Mchana 29.07.2021 | Media Center | DW | 29.07.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Mchana 29.07.2021

Afrika Kusini yapinga vikali hatua ya kamisheni ya Umoja wa Afrika/ IGAD, wamepitisha maazimio ya pamoja ya kumwezesha mwanamke wa Kiafrika kuwa na haki ya kumiliki ardhi/Zanzibar yapambana dhidi ya udhalilishaji / NATO yaanza kutoa mafunzo ya kijeshi kwa vikosi maalum vya Afghanistan nchini Uturuki/ Waziri mkuu mpya wa Haiti atoa ahadi ya uchaguzi wa haraka

Sikiliza sauti 60:00