Wandishi habari nchini Uganda wamesusia kikao cha vyombo vya usalama kupinga vitendo vya hujuma dhidi yao vinavyofanywa na majeshi ya serikali// Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Félix Tshisekedi jana amekutana na viongozi wawili wa upinzani Moise Katumbi na Jean Pierre Bemba// Mataifa ya Umoja wa Ulaya jana yameanza kutoa chanjo kwa watu wengi katika juhudi za kupambana na Corona