1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 25.10.20

SK2 / S02S25 Oktoba 2020

Umoja wa Mataifa wasema mkataba wa kupiga marufuku silaha za nyuklia utaanza kutekelezwa baada ya nchi 50 kuuidhinisha. Katika kampeni za uchaguzi wa Marekani Barack Obama amkosoa Donald Trump kwa kushindwa kudhibiti ugonjwa wa COVID-19 .Na, kiongozi wa upinzani ashinda uchaguzi wa rais visiwani Shelisheli.

https://p.dw.com/p/3kPcM