1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 21.04.2022

SK2 / S02S21 Aprili 2022

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameagiza vikosi vyake kusitisha mipango ya kushambulia kiwanda cha Azovstal/ Rais wa Jamhuri ya Kidemokirasia ya Congo Felix Tshisekedi yuko jijini Nairobi Kenya/Hamas yasema bado mapambano yanaendelea Gaza/Macron aimarisha uongozi wake katika mjadala wa televisheni/ Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson awasili nchini India

https://p.dw.com/p/4ACfD