1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 20.12.2021

SK2 / S02S20 Desemba 2021

Kongo: Watu 10 wajeruhiwa,Goma/ Kongo: Hakuna afisa wa polisi ya Rwanda aliye kwenye ardhi ya Kongo/ Ethiopia: Jeshi la nchi hiyo limechukua tena udhibiti wa mji wa Lalibela/ Tanzania: Asilimia 80 ya watanzania waliopata virusi vya Corona hawakufika hospitali/ Maelfu waandamana Sudan kupinga utawala wa kijeshi.

https://p.dw.com/p/44ZWG