1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 20.06.2021

SK2 / S02S20 Juni 2021

Idadi ya vifo nchini Brazil kufuatia janga la corona yapita nusu milioni, huku watu wakiandamana kumshutumu Rais Jair Bolsonaro kuhusu anavyolishughulikia janga hilo.// Pande zinazoshiriki mazungumzo ya kufufua mkataba wa nyuklia wa Iran kukutana leo. // Armenia yafanya uchaguzi uliochochewa na kushindwa vitani.

https://p.dw.com/p/3vFLl