1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 17.08.2021

SK2 / S02S17 Agosti 2021

Taliban imesema kuwa iko tayari kuwashirikisha wanawake katika serikali/ Marekani yatetea uamuzi wake wa kuwaondoa wanajeshi kutoka Afghanistan/ Ni asilimia 33 ya waalimu nchini Kenya pekee waliopata chanjo/ IAEA limesema Iran inaendelea kurutubisha madini ya kuwezesha kuundwa silaha za nyuklia.

https://p.dw.com/p/3z5A6