1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 08.11.2020

SK2 / S02S8 Novemba 2020

Viongozi wengi duniani kote wamempongeza Rais mteule wa Marekani Joe Biden kwa ushindi wake. Chama cha Aung San Suu Kyi kinatarajiwa kushinda uchaguzi wa leo huko Myanmar. Na, Umoja wa Mataifa waonya dhidi ya watu wa Tigray kupoteza makazi huko Ethiopia.

https://p.dw.com/p/3l1L1