1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 08.07.2021

SK2 / S02S8 Julai 2021

Afrika Kusini: Zuma aanza kutumikia kifungo cha miezi 15 jela/ Washukiwa 4 wa mauji ya rais wauwawa Haiti/ Zaidi ya familia 450 zimeyakimbia makaazi yao eneo la Saku jimboni Marsabit nchini Kenya/ Tanzania: Wasafiri walalamikia gharama kubwa ya upimaji virusi vya corona.

https://p.dw.com/p/3wDLZ