1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 07.12.2019

Yusra Buwayhid
7 Desemba 2019

Makundi ya nishati za kisukuku yanashutumiwa kushawishi mazungumzo ya mkutano wa mabadiliko ya tabianchi COP25 huko Madrid, Uhispania. Mwanamke mmoja afariki India kwa kuchomwa moto akielekea mahakamani kusikiliza kesi aliyoifungua ya kudai kubakwa. Na, wanasiasa wawili wa Uingereza wanaogombea uwaziri mkuu katika uchaguzi wa wiki ijayo walumbana katika mdahalo wa televisheni.

https://p.dw.com/p/3UNJQ