Tanzania: Freeman Mbowe ashindwa kufikishwa mahakamani kutokana na sababu za kiufundi/ Mamlaka za Uganda leo zimethibitisha kukamatwa kwa mwanablogu maarufu Fred Lumbuye/ USAID: Samantha Power ameelezea wasiwasi juu ya kauli za kudhalilisha zinazotumiwa na viongozi wa Ethiopia/ Syria yatakiwa kutoa taarifa kuhusu silaza zake za sumu/ Moto wa msituni watishia miundombinu Ugiriki na Uturuki