1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 04.08.2021

SK2 / S02S4 Agosti 2021

Kongo: Yaongeza muda wa ziada kwa hali ya dharura/ Tanzania: Viongozi wa juu serikalini wakijitokeza kupewa chanjo/ Lebanon yanaadhimisha mwaka mmoja wa kumbukumbu ya maafayaliyosababishwa na mlipuko/ Belarus: Vitaly Shishov amepatikana akiwa ananing'inia kwenye mti/ Afghanistan: Shambulizi la bomu lililomlenga waziri

https://p.dw.com/p/3yX7o