1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 02.08.2021

SK2 / S02S2 Agosti 2021

Tanzania: Rais Samia Suluhu Hassan aanza ziara yake ya kwanza nchini Rwanda/ Kongo: Kanisa Katoliki limekuwa katika mashambulio ya waandamanaji/ Makomando wa Afghanistan wapambana na Taliban Herat/ Kiongozi wa serikali ya kijeshi ya Myanmar amejitangaza kuwa waziri mkuu/ Mataifa yameanza kuripoti kupungua kwa maambukizi mapya virusi vya corona.

https://p.dw.com/p/3yRLo