1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni saa 12:00 (Afrika Mashariki)

3 Novemba 2018

Umoja wa Ulaya wamuita mjumbe wake wa nchini Tanzania kwa mazungumzo juu ya hali katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki//Kiongozi Mkuu wa Iran asema vikwazo vya Marekani vimeifanya Iran kuwa nchi yenye kujitegemea zaidi//Mumewe Asia Bibi mwanamke wa Kikristo aliyeondolewa mashtaka na mahakama ya juu Pakistan kwa madai ya kukufuru Uislamu ana hofu kwamba maisha ya mkewe yako hatarani

https://p.dw.com/p/37cSo