Biden kutoa dola 100 kwa kila atakapigwa chanjo ya COVID-19/ Tanzania kuzindua huduma ya utoaji wa chanjo dhidi ya virusi vya Corona/ Vikosi vya Rwanda vyafanya vema Msumbiji/ Kundi la kwanza la raia wa Afghanistan waliofanya kazi bega kwa bega na vikosi vya jeshi la Marekani limewasili Washington/ Mashambulio Syria: Raia 10 wauawa miongoni mwao watoto wanne