1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 29.07.2021

SK2 / S02S29 Julai 2021

Idadi ya watu waliopoteza ajira katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2021 iliongezeka/Zanzibar: Chama cha ACT chasusia uchaguzi mdogo/ Rais wa Tunisia Kais Saied awatuhumu kwa ubadhirifu wafanyabiashara 460/Afrika Kusini inatangaza kupeleka wanajeshi wake wapatao 1500 nchini Msumbiji/ Kenya: Tume ya NCIC imelaani wanasiasa wanaowatumia vijana kueneza chuki/ Kongo:Vifo kutokana na Virusi vya Corona.

https://p.dw.com/p/3yHgI