1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 28.12.2020

SK2 / S02S28 Desemba 2020

Vurugu zinaendelea kugubiga kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu nchini Uganda// Zaidi ya watu 700 wamekufa wakiwa mikononi mwa maafisa wa polisi nchini Kenya tangu mwaka 2007// Wanadiplomasia na maafisa wa ujasusi wa Misri jana wamekutana na maafisa wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya iliyoko mjini Tripoli.

https://p.dw.com/p/3nIK6