1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 27.09.2022

SK2 / S02S27 Septemba 2022

Rais wa Kenya William Ruto atangaza majina ya baraza lake jipya la mawaziri/Serikali ya Uganda yatangaza kuwa watu walioambukiwa homa ya Ebola wameongezeka na kupindukia watu 20 /Matokeo ya awali ya kile kinachoitwa kura za maoni zilizoandaliwa na Urusi kwenye majimbo manne ya Ukraine/Zaidi ya 75 waandamanaji wauawa Iran/Hali ni ya kukata tamaa Haiti, UN yaambiwa

https://p.dw.com/p/4HQQZ