Matangazo ya Jioni 26.05.2022 | Media Center | DW | 26.05.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Jioni 26.05.2022

Kansela Olaf Scholz: Rais wa Urusi Vladimir Putin hatoshinda vita nchini Ukraine/ Kong: Yaruhusu Uganda na Burundi kupeleka wanajeshi wake kupambana na waasi wa M23/ Tanzania: NCCR Mbatia asisitiza kuwa mwenye kiti/ G7 wanafanya mkutano wa siku tatu mjini Berlin/ Tanzania: Malalamishi ya wafanyakazi wa majumbani katika Umoja wa Falme za Kiarabu

Sikiliza sauti 60:00