Matangazo ya jioni 25.06.2022 | Media Center | DW | 25.06.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya jioni 25.06.2022

Mazungumzo ya nyuklia na Iran kuanza tena hivi karibuni. Ukraine yadai kuwa Urusi inalenga kuitumbukiza Belarus katika vita vinavyoendelea. Na Viongozi wa nchi za G7 waanza kuwasili mjini Munich kwa mkutano wa kilele.