1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 16.11.2019

SK2 / S02S16 Novemba 2019

Polisi Uingereza wachunguza madai ya udanganyifu wa uchaguzi ujao. Raia 14 wauliwa na waasi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika shambulizi la kulipiza kisasi. Na, mtu mmoja auawa katika maandamano ya kupinga ongezeko la bei ya petroli huko Iran.

https://p.dw.com/p/3TA5j