1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 09.11.2021

SK2 / S02S9 Novemba 2021

Wajumbe wa kigeni wameongeza juhudi za kumaliza vita vilivyodumu kwa mwaka mmoja sasa nchini Ethiopia/ Mahakama Sudan yaamuru huduma za Intaneti kurejeshwa/ Mgogoro wa Umoja wa Ulaya na Belarus unazidi kuongezeka/ Idadi ya visa vya maambukizi ya janga la Corona duniani imepindukia milioni 250/Tanzania: TMA imeonya kuhusu kupanda kwa kiwango cha joto

https://p.dw.com/p/42mxs