Matangazo ya Jioni 09.08.2022 | Media Center | DW | 09.08.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Jioni 09.08.2022

Wagombea watatu wa urais wapiga kura yao mapema/Wapiga kura katika kaunti ya Kwale pwani ya kenya wakumbwa na changamoto/ Kakamega, uchaguzi wa wadhifa wa Ugavana wahirishwa/ Kaunti ya Marsabit, wagombea wa kisiasa waishinikiza tume ya uchaguzi IEBC/Idadi ndogo ya wapiga kura imeshuhudiwa katika maeneo mbali mbali nchini Kenya/ Kenya yatajwa kuwa na utofautiwa suala la demokrasia katika uchaguzi