1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 08.11.2022

SK2 / S02S8 Novemba 2022

Tanzania, Rais Samia aongoza mkutano wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Kusini mwa Afrika, SADC/ Uganda: Shule kufungwa mapema kutokana na mripuko wa Ebola /Rais wa zamani wa visiwa vya Comoro Ahmed Abdallah Sambi huenda akafikishwa mahakamani/Marekani: Rais wa zamani Donald Trump amerejea katika siasa/Ukraine imeshikilia msimamo wake mkali juu ya uwezekano wa mazungumzo na Urusi

https://p.dw.com/p/4JDox