Rais wa zamani wa Angola Jose Eduardo dos Santos afariki dunia/Viongozi watuma salamu za rambi rambi kufuatia kifo cha Shinzo Abe/ Tanzania (CCM), kuiomba serikali kuangalia namna bora ya kufufua na kukwamua mchakato wa Katiba mpya/Ufafanuzi juu ya azma ya serikali kukodisha visiwa vidogo vidogo vya Zanzibar/
Kenya: Pilka pilka za maandalizi ya sherehe za Eid- ul Adha zimepamba moto