1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 07.04.2020

SK2 / S02S7 Aprili 2020

Malkia Elizabeth amtakia Waziri Mkuu Boris Johnson afueni ya haraka. Umoja wa Ulaya kukubaliana kutoa fedha za kufufua chumi za nchi zilizoathirika zaidi na corona. Na Wafungwa kadhaa waambukizwa virusi vya corona Pakistan wakati mripuko huo ukielekea magerezani sasa.

https://p.dw.com/p/3abSz