1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 04.08.2022

SK2 / S02S4 Agosti 2022

China imesema kuendelea kwa luteka za kijeshi katika maeneo ya bahari yanayokizunguka kisiwa cha Taiwan&/ Siku nne kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa Kenya/ Tanzania Jeshi limekanusha taarifa kuwa wanajeshi wa kikosi cha MUNISCO walikamatwa/ Mjumbe wa Marekani Linda Thomas-Greenfield, aanza ziara yake barani Afrika/ Antonio Guterres ameyakosoa makampuni ya mafuta na gesi kwa "ulafi wa ajabu"

https://p.dw.com/p/4F8qF