1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 04.04.2020

SK2 / S02S4 Aprili 2020

Kasi ya maambukizi ya COVID-19 Uhispania imepungua huku serikali ikirefusha hatua za kuifungia nchi. Waziri wa Maendeleo wa Ujerumani Gerd Müller amependekeza kuundwa mfumo wa pamoja ulimwenguni wa kupambana na janga la ugonjwa wa COVID-19. Na Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ametoa mchango wa euro 60,000 kuisaidia hospitali ya mji wa Bergamo.

https://p.dw.com/p/3aSZy