REDET- imesema uchaguzi mkuu wa Tanzania wa 2020 haukuwa na wigo sawa wa ufanyaji siasa/ Mikakati ya Tanzania kupunguza maambukizi ya HIV/ Kenya: Mji wa Nakuru wapewa hati rasmi ya kuwa jiji/ Jeshi limeukomboa mji wa Shewa Robit, Ethiopia/ Urusi imesema itazitaka nchi za Magharibi kuihakikishia kwamba hazitoendelea na hatua ya kutanua ushawishi na harakati za jumuiya ya NATO