Halmashauri ya Umoja wa Ulaya imewapongeza wabunge wa Ukraine/Mahakama ya ICC yaadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa/ Tanzania:Upasuaji wa watoto pacha walioungana, wakaamilika kwa mafanikio makubwa/ Tanzania imeadhimisha miaka 30 tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi